Jumamosi , 18th Dec , 2021

Tegemea Album mpya kutoka kwa Don Dingoo Whozu ambaye anasema itakua Album bora kwa sababu itazua mshangao mkubwa.

Picha ya msanii Whozu

Kuhusiana na hilo Whozu anasema kwamba "Ukweli mtajiuliza maswali mengi sana, na nina uhakika Album yangu itazua mshangao mkubwa kwa wengi ilo nalijua ila leo nawapa jibu la swali la kwanza, acha uoga fanya kwa uhakika".