Jumatatu , 11th Apr , 2022

Mkali wa mziki wa Dansi Bongo Ali Choki amesema ana jumla ya watoto 9 na wajukuu watatu. Watoto hao alipata na mama tofauti tofauti kwa sababu aliishi sehemu mbalimbali kwenye ujana wake.

Picha ya msanii Ali Choki

"Kusema ukweli nina watoto wengi jumla yake wapo 9 na wajukuu watatu, kwenye kutafufuta unaweza kuwa na mama tofauti lakini cha umuhimu watoto wako unawajua

"Kwa kipindi cha ujana nilikuwa naishi sehemu nyingi lakini sasa hivi tumeshakuwa watu wazima, unaamua kutulia na kulea watoto wako".

Zaidi tazama hapa kwenye video.