Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Alkasusu,tende, mihogo vinapatikana kwangu"-Snura

Jumanne , 18th Feb , 2020

Msanii wa filamu na muziki Snura Mushi, amesema vitu vya kuongeza nguvu za kiume kama Alkasusu, tende na mihogo mibichi vinapatikana mwilini mwake ila huwa anampatia mpenzi wake Minu Calypto pale anapohitaji.

Picha ya msaniI Snura Mushi

Snura Mushi amesema hayo kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa Radio, ambayo inaruka kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.

"Mambo hayo ya Alkasusu, Urojo, juisi ya tende na mihogo mibichi vyote vipo mwilini mwangu akinigusa tu anavipata,  kila siku  kwetu ni Valentine Day penzi letu lipo juu kama dirisha la chooni, halafu kuhusu umri nimemzidi miaka kidogo sio mingi kihivyo kama watu wanavyofikiria" amesema Snura Mushi.

Pia wapenzi hao wamekiri kuwa waliachana kipindi cha nyuma na wamesema sababu ya kuachana kwao ni mambo ya nje kuwa mengi kuliko mapenzi yao.

"Tuliachana kweli kuna vitu tulipishana kidogo ila kuachana sio kufa,nafikiri mambo yanakuwa mengi kwetu sisi, watu wanaongea vitu vingi sana, hakuna kitu chochote kibaya alichonifanyia hakunisaliti wala sijakuta message yoyote mbaya, maana hayo ndiyo makosa makubwa ya watu kuachana" Snura Mushi na Minu Calypto.
 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa