Picha ya Amber Rose na Alexander Edward
Amber aliachana na Alex miezi michache iliyopita baada ya kugundua Alex alimsaliti kwa kutembea na wanawake 12. Alex amekiri kufanya usaliti huo na yuko tayari kufanya lolote ili kuhakikisha anarudiana tena na Amber.