Jumatano , 13th Apr , 2022

Harmorapatz amewajibu Chidi Benz na Q Chief ambao anadai wameshindwa kuzuia mihemko yao kwa kumkosea na kumkejeri mtandaoni.

Kutoka kulia ni Harmorapa, Chidi Benz na Q Chief

Harmorapa amewaandikia ujumbe huu Chidi Benz na Q Chief

"Ma-legend waheshimiwe na stress zao, ukweli huwa wanatukosea sana new generation lakini tukiwajibu tunaonekana hatuna adabu na wanatusaka kutuzingua na wanatudharau nyuma ya mitandao"

"Chidi Benz na Q Chief wameshinda kuzuia mihemko yao. Mbarikiwe na ninawapenda sana ma-role model wangu, Chuma na Chila ahsanteni kwa kejeri na vicheko vyenu".

Zaidi tazama hapa kwenye video.