Jumanne , 14th Dec , 2021

Kupitia EATV & EA Radio Digital, msanii wa filamu Omary Said 'Bambucha' ameomba msaada baada ya kukatwa mguu wake wa kulia uliosababishwa na maradhi ya kisukari.

Picha ya Bambucha baada ya kukatwa mguu

Bambucha anasema anaomba msaada wa kifedha ili kuweza kununua dawa, kusafisha mguu aliokatwa na matibabu mengine ya Hospitalini.

Zaidi msikilize hapa akizungumzia tatizo hilo la mguu wake.