Picha ya Barakah The Prince na Najdattan
Barakah na Naj wamedumu kwenye mahusiano kwa miaka 7, wivu na umbali ndio vimechangia kuachana kwao.
Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.
Barakah The Prince anasema yeye na Najdattan wameachana kizungu kwa sababu sio maadui, wamebaki kuwa marafiki na bado wanaendelea kuwasiliana.