Jumanne , 4th Oct , 2022

Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Calisah amewaambia ukweli wasanii wa Tanzania wajifunze kwa msanii Nyashinski kutoka Kenya kwenye ufanyaji shows zao kwenye majukwaa. 

Picha ya msanii Calisah

"Wasanii wa Tanzania inabidi wajifunze kwa Nyashinski, ni msanii mkubwa sana amefanya bonge moja la show zaidi ya saa moja na nusu kwenye stage na energy ni ileile na ana utoauti mkubwa" amesema Nyashinski

Calisah amesema hivyo baada ya kumshuhudia Nyashinski akifanya show yake kwa mara ya kwanza nchini Tanzania baada ya miaka 16 kupitia Unmasked Edition pale Ware House Masaki.

Zaidi tazama hapa kwenye video.