Jumamosi , 16th Oct , 2021

Baada ya “Wandia” kutoka kwa msanii wa Konde Gang, Cheed sasa ni mwendo wa back to back wa kuachia hits ambapo ametangaza kuja na “Final” siku ya Jumatatu ijayo.

Picha ya Msanii Cheed

Wimbo wa kwanza wa Cheed kutoka akiwa chini ya lebo hiyo una wiki mbili tu na sasa ameweka wazi ujio wake mpya kwa ku-share cover ya wimbo huo mpya ambao utakuwa ni wa pili na utatoka kama audio na video.