Jumatano , 20th Oct , 2021

Mwana wa Lubao, Chemical tayari ameanza masomo yake huko ughaibuni katika level ya Doctor of Philosophy (PhD) huko Scotland, hapa anafunguka kuhusu hatma ya muziki wake na maisha yake mapyam ya masomo nchini humo.

Picha ya Mtangazaji Dullah Planet na Rapper Chemical