Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Chidi Benz aomba msamaha

Jumamosi , 28th Mar , 2020

Kupitia show ya Friday Night Live ya East Africa TV inayoruka kila siku ya Ijumaa kuanzia 3:00 usiku hadi 5:00 usiku, MwanaHipHop maarufu hapa nchini Chidi Benz, ameomba msamaha kwa wananchi juu ya kuleta utani kwenye janga la ugonjwa wa virusi vya Corona.

Msanii wa HipHop Chidi Benz

Chidi Benz ameomba msamaha huo baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonyesha anazungumzia ugojwa huo kwa njia ya utani kupitia chombo kimoja cha habari kwa kusema 

"Corona ni mafua ambayo yamekuwa ni mara mbili yake, watakaoathirika ni wale ambao mfumo wao wa pua utakua unashika vumbi kwa haraka ila kwa sisi Waafrika ukikamua mafua yanatoka kama keki Corona haipiti kokote

Aidha akiomba msamaha huo Chidi Benz ameeleza kuwa  "Kuhusiana na Corona ni ugonjwa ulio serious mtu yoyote asiuletee utani, mimi naomba msamaha kwa kile nilichokifanya kuhusu Ugonjwa wa Corona, ile niliongea kama utani tu ili nisichanganye watu".

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali