Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Chris Brown kupandishwa mahakamani

Jumamosi , 6th Jul , 2019

Balaa linazidi kumuandama staa wa muziki duniani Chris Brown, baada ya kufunguliwa mashtaka mapya mahakamani na mzazi mwenzake Nia Guzman.

Chris Brown

Nia Guzman ambaye ana mtoto mmoja na Chris Brown aitwae Royality, amemfungulia kesi staa huyo kwa kosa la kutotoa pesa za huduma ya matumizi kwa mtoto na amesema amefungua mashtaka hayo baada ya kuona Chris Brown amegoma kulipa shilingi milioni 40 alizoambiwa alipe na mahakama mwezi wa pili mwaka huu.

"Huwa hashiriki katika kutoa msaada wa matumizi ya mtoto wake na gharama zimeongezeka, huwa anapuuza matangazo yanayotolewa na mahakama katika suluhisho ya malezi ya mtoto. Nataka kurejeshewa gharama zangu zote nilizokuwa natoa tangu mwanzo wa kesi, pia alipie thamani ya nyumba aliyokubali kulipa, jumla nataka milioni 592".

Chris Brown na mtoto wake Royalty

Aidha mama wa mtoto huyo amedai kuwa kwa sasa anapitia wakati mgumu wa kumlea mtoto huyo kwa sababu hana kazi na hapati msaada wowote kutoka kwa Chris Brown ambaye anaingiza kiasi cha bilioni 16 kwa mwaka.

Mbali na kesi hiyo mama huyo amesema anataka milioni 15 kwa kila mwezi kwa matumizi ya mtoto huyo, japokuwa Chris Brown mwenyewe aliwahi kulalamika kuwa mama mtoto huyo huwa anaongeza pesa kwa aajili ya matumizi yake binafsi.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda