Picha ya Msanii Chris Brown
Katika shauri hilo, Jane Doe anadai kwamba Chris alijaribu kuficha shambulio wakati anatoa taarifa polisi, huku akimshukia Breezy kuhusika na majeraha aliyopata wakati Mbwa wake “Caucasian shepherd ovcharka” alipokuwa akimshambulia.






