Jumamosi , 4th Jul , 2015

Siku zinaendelea kusogea karibu kuelekea siku kubwa ya ufunguzi na usaili wa mashindano ya Dance 100% (2015) ambapo siku, muda na mahali ambapo zoezi la kwanza kuwasaka washiriki wa mwaka huu itawekwa wazi kwako kupitia EATV na EA Radio hivi karibuni

Dance 100%

Kinachotakiwa kufanyika sasa, kwa wewe unayehitaji kuingia katika kinyanganyiro kwa mwaka huu ni kuendelea kujipanga kwa kuunda kundi la watu 5 hadi 8, na kuanza kujifua kwa mazoezi makali tayari kwa kuwapagawisha majaji, kutokana na ushidani wa mwaka huu kuwa mkubwa zaidi.

Ni Zamu Yako sasa, Jipange tayari kabisa kwa Dance100%2015.