Picha ya Davido na Chris Brown
Davido anasema Chris Brown ameunga mkono Afrobeats, amejitokeza kwenye shows zao, anarekodi nyimbo na wasanii hao kabla muziki huo haujawa mkubwa kimataifa.
Ikumbukwe Davido na Chris Brown ni marafiki wakubwa ndani na nje ya muziki wanaoufanya na pamoja wameshafanya zaidi ya nyimbo 5.




