Picha ya Dayna Nyange kushoto kulia ni Amber Lulu
Dayna Nyange amejibu hivyo kupitia EATV & EA Radio Digital baada ya Amber Lulu kuweka wazi kwamba anataka kujichubua ili kuwa mweupe.
Ikumbuke Dayne Nyange ni mmoja waliowahi kujichubua kwa kutumia vipodozi vikali kitu ambacho hatamani kukifanya tena.





