Ijumaa , 11th Mar , 2022

Kupitia ngoma ya nawaza inayopatikana kwenye EP yake mpya ya FOA Diamond Platnumz amezungumzia tofauti yake ya kimziki na Official Alikiba kwa kueleza ni ushamba, ujana na kugombania mashabiki.

Picha ya Diamond Platnumz kushoto na kulia ni Alikiba

Diamond Platnumz amesikika akiimba "Nililowaza leo nishawaza sana mi na Kiba ugomvi kipi, nikagudundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki".

Wimbo wake huo upo trending namba 1 kwenye mtandao wa Youtube.