Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

G Nako aeleza ya moyoni kuhusu Kikwete

Alhamisi , 22nd Aug , 2019

Msanii kutoka kundi la Weusi G Nako Warawara, ameeleza sababu zinazomfanya asiitoe picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Kushoto ni GNako na kulia ni Rais Kikwete

G Nako Warawara ameiweka picha hiyo ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwenye 'Profile Picture' ya mtandao wa kijamii wa Instagram.

Akizungumza na EATV & EA Radio Digital, msanii huyo ameeleza sababu za kutotoa picha hiyo.

"Kwa sababu namkubali tu yule mzee na napenda awepo pale nafikiri ni mtu ambaye nimetokea kumuelewa na nimeshawahi kukutana naye mara mbili au mara tatu nikatokea kumuelewa na nafikiri anastahili kuwepo pale na napenda aendelee kukaa pale hadi nitakapoamua".

Picha hiyo ya Gnako akiwa na Dkt. Jakaya Kikwete imekaa kwa muda zaidi ya miaka mitatu, ikimuonyesha staa huyo wa muziki akiwa ameshikana mkono na aliyekuwa Rais huyo mstaafu.

Pia msanii huyo amezungumzia suala lake la kupenda kusaidia wasanii chipukizi.

"Mimi naamini  hapa duniani sipo milele nipo kwa muda tu, wakati mwingine kutokana na roho yangu jinsi ilivyo naonaga huruma kuona wasanii chipukizi wakilala studio ndio maana nikiona mtu mwenye kipaji namsaidia", amesema Gnako Warawara.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi