Jumatatu , 3rd Oct , 2022

Msanii Official Gachi amekana taarifa za madai ya kuhusishwa kuwa na mahusiano na staa wa filamu Auty Ezekiel Kusah kwa kusema hakuna kinachoendelea kati yao zaidi ya kazi.

Picha ya msanii Gachi kushoto na Kusah kulia

Akipiga story na 5Selekt ya East Africa TV, Gachi amesema "Kusah ni msanii mwenzangu, hakuna kinachoendelea zaidi ya kazi za sanaa. hizo ni tetesi ambazo zilikuwepo yeye ana mahusiano yake".

Show ya 5Selekt ni kila siku ya J3 mpaka Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni kupitia East Africa TV pekee.