Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

G nako ajipongeza

Jumatano , 21st Jun , 2017

Rapa G Nako amefunguka na kusema kwamba ujumbe na lengo lake limefanikiwa baada ya watu kushtuka walipomuona  ndani ya jeneza kwenye video ya wimbo wake mpya 'Luck Me' huku akikumbusha kwamba kila mtu lazima aingie kaburini na kusisitiza ibada.

Msanii G Nako

G Nako amefunguka hayo mbele ya kamera za eNewz ya EATV baada ya kuzua gumzo mtandaoni ikiwa ni siku chache tangu video hiyo ianze kuonekana na kuweka wazi hofu ya wazazi wake ingawa kwa asilimia kubwa ametimiza malengo yake.

"Wazazi wameogopa lakini, yani kuna hofu fulani ila tumewaelewesha na wameelewa. Nilichojaribu kukifanya ni sanaa tulijaribu kuwa creative  na hakuna kingine ila asilimia nyingi wameelewa ila asilimia ndogo kidogo kama wameogopa na wamechukulia tofauti na jeneza lilikodishwa na watu wenye jeneza lao walikuwepo na baada ya kumaliza kulitumia walilichukua ili kwenda kulifanyaia kazi nyingine" G Nako alifunguka.

Aidha G Nako ameongeza kwamba "Vile watu waliposhtuka ndilo lengo letu lilipokuwa kwa maana ujumbe umefika. Pamoja na kwamba watu wameogopa wanatakiwa kukumbuka sote tutapitia hatua hiyo hivyo ukumbuke kufanya mema na kusali sana"

Picha ya G Nako ilozua tafrani mitandaoni

 

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda