Jumanne , 12th Apr , 2022

Msanii na mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema hajawahi kuwa tajiri kwenye maisha yake ndio maana anapambana ila sio kama amefilisika baada ya duka lake la Mwananyamala kufungwa.

Picha ya msanii Hamisa Mobeto

Hamisa Mobetto ameongeza kusema duka lake limefungwa kwa sababu ya kuhamishiwa sehemu nyingine sio kwamba amefilisika baada ya kulifunga.

Zaidi tazama hapa kwenye video.