Alhamisi , 11th Nov , 2021

Msanii Hamorapa amefunguka kwamba taarifa za kifo kuhusu Rhino King ni za kiki na uongo kwa sababu anatania kifo na anafanya hivyo kwa ajili ya kupata 'attention' kwa watu.

Kushoto ni Hamorapa,kulia Rhino King

Hii sio mara ya kwanza kwa msanii kutafuta kiki kwenye masuala ya kifo kwani msanii wa singeli Meja Kunta naye aliwahi kujizushia kifo mwaka 2020.

Zaidi tazama hapa kusikia Hamorapa akizungumzia taarifa hizo.