Kulia ni Harmonize na H Baba, kushoto ni Barnaba Classic
Tuliangalie hili la Barnaba ambalo alitumia zaidi ya saa 3 stejini kufanya show ambayo ilihudhuriwa na mastaa kibao kama Harmonize, Gigy Money, Lulu Diva, H Baba, Country Boy, Linah, Aslay, Tunda , Whozu, Kusah, Beka Flavour , Chegge na Don Dada "Masha Love".
Kubwa ni suprise aliyofanyiwa Barnaba na wasanii wenzake ambao waliweza kumtunza pesa za kutosha wakati wa show hiyo, kwa harakaharaka unaweza kusema Barnaba amemwagiwa vibunda vya kutosha ambayo anaweza asifanye tena show mwaka huu na bado angebakiwa na pesa hizo.
Zaidi tazama hapa wakifanya tukio hilo.



