
Mkali wa michano nchini Tanzania M-Rap
M-Rap ambaye yupo mbioni kutia wino mkataba na menejimenti mpya atakayoiweka wazi hivi karibuni, amesema kuwa, kazi yake hiyo imemuwezesha kusaini mkataba na kampuni kubwa, akiwa pia na mpango wa kuiingiza katika vituo vya kimataifa hivi karibuni.
