Jumanne , 4th Oct , 2022

Staa wa filamu nchini Tanzania Irene Uwoya ameonekana kutupia zaidi mavazi ya jeans zenye style ya kuachinikachanika (Crazy Jeans) kwenye baadhi ya mitoko yake siku za hivi karibuni.

Picha ya msanii Irene Uwoya

Mitupio na muonekano wa mavazi hayo yameonekana kumpendezesha zaidi msanii huyo wa filamu na kutamba anga za fashion za wasanii wa Bongo.

Zaidi kuhusu kumuona Irene Uwoya akiwa na mavazi hayo tembelea page yake ya Instagram mahali ambapo amepost mara nyingi akiwa ametupia mavazi hayo.