
Zari "Boss Lady" Akiwa na Farouk
Ivan Semwanga ambaye ni mpenzi wa siku nyingi wa The Boss Lady Zari na baba wa watoto wake watatu, inasemekana hupenda ligi na mpenzi wake huyu kwani kwao drama ni kitu cha kawaida sana.
Hata hivyo wengi wanatumaini hili sio jaribio la kupoteza attention kutoka kwa Zari kwenda kwake kwani amekuwa akifanya hivi mara kwa mara na inasemekana gari alilolionesha wakati uliopita lilitoweka swali ni je hili la sasa litadumu?