
Izo B (kushoto) akiwa amepozi na Bella
Akizungumza na East Africa Television, Izzo B amesema alikutana na binti huyo ambaye amekulia Marekani kwenye mtandao wa kijamii, lakini mahusiano makubwa yaliyopo kati yao ni kikazi tu na siyo kama wengi wanavyodhani kuwa ni wapenzi, licha ya binti huyo kuwa mrembo "haswaa....!"
Mtazame hapa chini akifunguka yote hayo na mengine mengi kuhusu muziki wao.