Jumatatu , 22nd Nov , 2021

Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano.

Picha ya Jacqueline Wolper na mpenzi wake Rich Mitindo

Jacqueline Wolper ameongeza kusema endapo Rich Mitindo akimzingua hataweza kumvumilia, atatoa taarifa kwa kinachoendelea kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kama Snapchat, WhatsApp status na Instagram.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.