Ijumaa , 30th Sep , 2022

Msanii Jay Melody amejibu tetesi za kulipwa Tsh Milioni 20 kwenye show ya 'Unmasked Edition' itayowakutanisha mastaa kama Ruger kutoka Nigeria na Nyashinski itakayofanyika siku ya Oktoba 1 pale Ware House Masaki.

Picha ya Jay Melody na mtangazaji Dullah Planet

"Mziki umebadilika sana kuanzia mauzo ya Digital Platform ila pesa ya show inakua ya mkupuo na Digital unakuwa unapata kila mwisho wa mwezi. Vipato vya watu ni siri, nashukuru mungu tunalipana vizuri".