Alhamisi , 30th Sep , 2021

Baada ya kupata matatizo ya Ini na Kongosho hadi kupelekea kulazwa hospitalini, nguli wa muziki kutokea nchini Uganda, Jose Chameleone (42) amedokeza ujio wa wimbo wake wa kwanza 'Forever' baada ya kupona.

Picha ya Msanii Jose Chameleon

Wimbo huo amepanga kuutoa mwezi Oktoba 9 mwaka huu ambapo itakuwa siku ya Uhuru nchini Uganda huku ukiwa umetayarishwa na Ian Pro na Yaled