Alhamisi , 20th Mar , 2014

K-Denk, msanii wa muziki wa Sudan aliyejijengea jina Afrika Mashariki kupitia shindano la Tusker Project Fame, na kuvitawala vichwa vya habari baada ya kujiingiza katika mapigano kama muasi huko Sudan, sasa ametangaz

K-Denk baada ya kubadilisha maamuzi yake ya awali, tayari ameanza kwa kasi kutangaza na kuhamasisha amani, ambapo pia tarehe 22 mwezi huu anatarajia kushiriki katika tamasha la Amani huko Juba.

Hatua ya K-Denk kujiingiza katika mapigano kama muasi akitangaza madhumuni ya nia yake hiyo kuwa ni kuipigania nchi yake, iliweza kugusa asilimia kubwa ya mashabiki na wasanii wenzake ambao kwa wingi wao walimshauri msanii huyu kuachana na mpango huo.