Jumanne , 14th Dec , 2021

First Born wa Konde Gang Music Ibraah Tz anasema wanaomshambulia boss wake Harmonize hawana maana ila wanalengo la kumuharibia kwa kitu alichonacho na ni jambo baya kwenye muziki.

Picha ya Ibraah kulia, kushoto ni Harmonize

Ibraah ameongeza kusema unapomzungumzia Harmonize vibaya basi unaizungumzia Konde Gang kwa ujumla na likimtokea baya watakaodhurika ni wengi.

Interview nzima kaitazame Youtube ya East Africa TV.