Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kauli za Petitman kuhusu bifu ya Wema na Kajala

Alhamisi , 13th Aug , 2020

Meneja na mtu wa karibu wa staa Wema Sepetu, Petetman Wakuache amesema amepanga kumaliza bifu la msanii huyo na aliyekuwa rafiki yake wa zamani na msanii mwenziye wa filamu Kajala Masanja.

Upande wa kushoto Petitman Wakuache na Wema Sepetu , kulia ni Kajala Masanja

Petitman Wakuache amesema  tatizo la Wema Sepetu na Kajala Masanja linazungumziwa kwa sasa ila bado hajakaa kuzungumza nao ila kuna umuhimu wa kusameheana kwa sababu maisha ni mafupi pia kuna kifo.

"Kuhusu suala la Wema na Kajala lipo-trending kwa sasa ukizingatia kauli ya Wema Sepetu aliyoisema, kwa upande wangu huo mchakato wa kuwapatanisha unafanyika na nina mipango hiyo ya kumaliza toafuti zao, wale ni marafiki waliokuwa nusu ndugu, matatizo yanatokea kwa binadamu na tunakoseana ila mwisho wa siku tunapatana, maisha yenyewe mafupi sana kuna kifo pia" ameeleza Petitman Wakuache

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi