Jumamosi , 23rd Aug , 2014

Wasanii watakaolipua jukwaa ni pamoja na Amin, Proffesa Jay, Ben Pol, Mzee Yusuph, Mwana Fa, Chri

Wasanii wakiwa tayari kutumbuiza Kigoma

Wasanii watakaolipua jukwaa ni pamoja na Amin, Proffesa Jay, Ben Pol, Mzee Yusuph, Mwana Fa, Christian Bella, Weusi, Mwasiti na Diamond Platnumz.

Timu nzima ya East Africa Radio na East Africa TV akiwepo Mjukuu wa Ambua, Zembwela Mfalme wa Amani na DJ Mafuvu watakiamsha mbaya.

Milango ipo wazi kuanzia sasa, Kigoma nzima tusogee pale Lake Tanganyika kwa kiingilio cha shilingi 3,000 tu mlangoni, Bia moja bure, kutakuwa na Chakula na vinywaji mbalimbali.

Kili Music Tour 2014, Tunazungusha kikwetu kwetu.