
Rapper kutoka Bongo Kimbunga Mchawi
Akizungumza na Enewz Kimbunga alisema kuwa Nay hajui nguzo za hip hop wala pia hajui nini anafanya kwahiyo yeye hawezi fanya kazi na msanii huyo
"Mimi sijawahi kumshirikisha na Nay wa mitego lakini Nay amenishirikisha mimi na nilifanya ngoma ile baada ya kuona kuna wasanii wakali waliokuwepo",alisema kimbunga.
