Jumatano , 20th Oct , 2021

Kwa kawaida kunyoa style ya kipara kwa kutumia wembe ni Tsh 200 tu, lakini hii ipo tofauti na mwanamitindo Chris Mziwanda ambaye anasema akienda saloon kunyoa kipara chake anatumia Tsh 40, 000 kila baada ya siku mbili.

Picha ya Chris Mziwanda

Chris Mziwanda anasema hiyo inasababishwa na muonekano wake, lifestyle yake kuwa kubwa na gharama kiasi kwamba akijifikiria huwa anajiogopa.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.