Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Linah aanika ukweli kuachana na mume wake

Jumanne , 16th Oct , 2018

Msanii wa muziki wa Bongofleva, Linah Sanga amefunguka juu ya taarifa za kuachana na baba mtoto wake ambaye anatajwa kuwa mume wake, Shaban Mchomvu.

Akizungumza na www.eatv.tv, Linah amesema hajaachana na mume wake huyo, hivyo tetesi za kuachana hazina ukweli wowote na kusisitiza kuwa anasikia yote yanayozungumzwa lakini anakaa kimya kwakuwa yeye na baba wa mtoto wake wana familia.

havina ukweli wowote watu wanatengeneza tu, ndio maana mimi nimenyamaza kimya na mwenzangu amenyamaza kimya, tukiviongelea inakuwa sio vizuri kwa sababu unajua tuna familia, amesema.

"Watu wengine wanakuwa shocked(kupata mshtuko) kusikia kitu kama hicho, hamna yeyote kati yetu ambaye amezungumza chochote kama tumeachana”, ameongeza Linah.

Hivi karibuni iliibuka minong'ono kuwa msanii huyo anayetamba na wimbo wa 'Koleza' kuachana na mzazi mwenzake, Shaban Mchomvu maarufu kama 'director ghost'.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa