Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Linah adai akibeba mimba tena atafanya hili

Jumanne , 19th Sep , 2017

Msanii wa bongo fleva na mama wa mtoto mmoja Linah Sanga ameibuka na kusema akibeba mimba nyingine hataacha kupiga picha zake tata kama  alizozipiga kipindi akiwa na mimba yake ya kwanza kwa kuwa yeyeni mtu maarufu.

Akiongea kupitia eNewz Linah amesema hajutii kwa picha alizozipiga katika kipindi  cha ujauzito wake wakwanza kwa kuwa yeye ni mtu maarufu  na aliamua kufanya kitu ambacho roho yake ilijisikia kufanya kwa kipindi kile na kuongeza kwamba  hata siku akibeba mimba nyingine anaweza kufanya kitu kama hicho kwa kuwa hakikumuharibia chochote katika maisha yake.

Hata hivyo  Lina aliendelea kusema kwamba "Binadamu ni watu wa ajabu sana na hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha kwa kuwa kila mtu anatamani ufanye kile anachokitaka yeye nikivaa gauni refu watasema mimi nimshamba na hata nimevaa hizo nguo fupi bado wanasema hazina maadili hivyo mi nafanya ninachojisikia na waacha waendelee na malumbano yao"alifunguka mbele ya kamera za eNewz

Mbali na hayo Linah amefafanua pia suala la watu kumuona yeye kama amechelewa kujifungua ni kutokana na kwamba watu wengi  waliwahi kufahamu hali yake mapema tangu ikiwa na miezi mitatu hivyo walikuwa kama wanamuhesabia na ilipopitiliza wiki ndipo walipoanza kuhoji.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi