Jumatano , 5th Oct , 2022

Rais wa kitaa Nay Wa Mitego ameeleza kuwa mama yake mzazi, watoto wake na familia yake kwa ujumla inatamani aachane na mziki na kufanya shughuli nyingine kutokana na changamoto anazopitia.

Picha ya Nay Wa Mitego akiwa na mama yake mzazi

Nay Wa Mitego ameshea hilo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio ambayo inaruka kila siku ya J3 - Ijumaa saa 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni. 

Zaidi mtazame hapa akizungumzia suala hilo.