Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mambo matatu kubadili maisha ya mzee Majuto 2017

Jumatatu , 16th Jan , 2017

Muigizaji wa filamu nchini mzee Majuto amefunguka na kusema kuwa mwaka 2017 amepanga kufanya mambo matatu ambayo yote anataka yaende pamoja.

Mzee majuto katika bustani yake

Jambo la kwanza ni kuhusiana na sanaa yake ambapo amepanga kwa mwaka huu wa 2017 kuhakikisha kazi zake za sanaa anazisambaza mwenyewe na kuachana na wasambazaji wengine.

Mzee Majuto amesema jambo la pili katika mwaka huu ambalo pia atalifanya sana ni kuhakikisha ana mcha Mungu sana na jambo la mwisho ni kufanya kilimo na ufugaji ili kijiongezea kipato chake.

"Mwaka huu nimepanga mambo matatu kwanza kumcha Mungu sana, kuigiza kama kawaida na mwaka huu nataka kazi zangu nizisimamie mweyewe kusambaza na kuachana na wasambazaji wengine katika kazi zangu lakini jambo lingine kulima na kufanya ufugaji, maana saizi nimejiunga na mtandao wa kijani, nafuga Sungura, nalima mchai chai" alisema Mzee Majuto 

HABARI ZAIDI

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri