Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mchekeshaji asiyeoongea aongoza kwa wafuasi TikTok

Ijumaa , 24th Jun , 2022

Mchekeshaji Khabane Lame maarufu kama Khaby ambaye alizaliwa nchini Senegal miaka 22 iliyopita, kwa sasa ndio mfalme wa mtandao wa TikTok duniani kwa kuwa na wafuasi wengi zaidi, akiwa na wafuasi milioni 142.9

Khaby Lame

Khaby alizaliwa Machi 9, 2000 nchini Senegal, baada ya mwaka mmoja wazazi wake walihamia nchini Italia na ndipo anapoishi mpaka sasa.

Miaka miwili iliyopita Khaby aliachishwa kazi katika kiwanda alichokuwa anafanya kazi katika mji wa Turin, Italia. Baada ya hapo akiwa nyumbani alianza kutengeneza madhui na kuweka katika mitandao ya kijamii. Na mwaka huo nchi nyingi barani Ulaya zilkuwa kwenye karantini.

Video za Khaby zilisambaa na kupata umaarufu kutokana namna ambavyo alikuwa akiigiza kazi zilizofanywa na watu kwa kutumia nguvu nyingi, yeye alizifanya kwa urahisi bila kusema chochote katika video.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

A post shared by Khaby Lame (@khaby00)

Ubunifu huo ulimpa mashabiki wengi ulimwenguni, na mashabiki walianza kumtumia video za watu wanaofanya kazi rahisi kwa njia ngumu ili azifanyie maigizo.

Sura yake imetumika katika kutengeneza vibonzo vingi mtandaoni, Mei 3 mwaka huu jarida la Forbes lilimtaja katika orodha ya vijana 30 barani ulaya waliobadilisha biashara na jamii kwenye upande wa sanaa.

Khaby anakadiriwa kuingiza dolla milioni 6 sawa na Tsh bilioni 13 kwa mwaka kupitia mtandao wa TikTok na Instagram.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa