Jumanne , 12th Apr , 2022

Meneja wa msanii Alikiba kutoka Kings Music Records, Aidan Charlie amesema anahisi ikitokea Alikiba na Diamond Platnumz wakifanya ngoma moja inaweza usiwe wimbo mzuri kama baadhi ya mashabiki wanavyotarajia.

Picha ya Meneja wa Alikiba kushoto, kulia ni Diamond na Alikiba

"Mimi ni mmoja wa watu wanaoweza kukwambia kwamba nahisi unaweza usiwe wimbo mzuri" amesema Meneja wa Alikiba 

Zaidi tazama hapa kwenye video.