Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Miaka 6, anajilipia ada mwenyewe" - Habiba Zumo 

Jumatatu , 12th Oct , 2020

Anko Zumo, Habiba Zumo na Mai Zumo ni familia ambayo kuanzia baba, mama na mtoto wote wanafanya kazi moja ya uchekeshaji ambapo wamepata umaarufu mkubwa hapa nchini Tanzanoa na kuingiza pesa.

Mchekeshaji Anko Zumo na mwanaye Mai Zumo

Sasa mama wa familia hiyo Habiba Zumo amesema kwa sasa mtoto wao Mai Zumo mwenye miaka 6 ambaye yupo darasa la kwanza anaweza kujilipia ada mwenyewe kutokana na kazi anayoifanya.

"Mai Zumo amefanana na bibi yake wa upande wa baba yake, lakini kwa asiyemjua hudhani amefanana na mimi sasa hivi yupo darasa la kwanza ana miaka sita, anaingiza pesa kwa kiasi ambacho yeye anafanya kazi hasa kwa faida yake na maisha yake, sasa hivi anajilipia mwenyewe ada" amesema Mama Mai Zumo.

Aidha baba wa mtoto huyo Anko Zumo amesema moja ya changamoto wanayoipata kutoka kwa mtoto wao kuwa maarufu ni pale wanapopita njiani watu kumshangaa na kutaka kupiga naye picha

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa