Jumanne , 30th Sep , 2014

Miss Tanzania 2013, Happyness Watimanywa ameongea na washiriki wa shindano hilo kwa mwaka huu kuwahamasisha juu ya umuhimu wa elimu wa Uzazi wa Mpango kwa vijana kuelekea katika semina waliyoandaliwa na kituo maarufu cha Afya hapa nchini.

miss Tanzania 2013 Happyness Watimanywa

Happyness akiwa pia ni balozi wa kituo hicho ametumia nafasi hii kuhamasisha warembo hao juu ya kampeni ya Chagua Maisha the goodlife maalum kwa ajili ya kuwafikishia vijana ambao ni walengwa wa elimu kuhusiana na uzazi wa mpango.