Jumanne , 19th Oct , 2021

Rapper na mfanyabiashara kutoka Marekani, Kanye West ameendelea kuutikisa ulimwengu kwa aina yake mbalimbali ya mitindo kwenye mavazi, viatu na hivi sasa ameibuka na mwonekano mpya wa nywele.

Picha ya Rapper Kanye West akiwa kwenye mwonekano mpya

Ye ame-share picha ya mtindo huo mpya ambao umezua gumzo huko mitandaoni hadi watu kuhoji nani kinyozi wake ambaye amebuni mtindo huo huku akiwa amevua maski kichwani baada ya kuvalia kwa muda mrefu.