Jumanne , 8th Mar , 2022

Mkali wa Taarab Mzee Yussuf amesema kuna uwezekano wa kuacha tena mziki baada ya miaka miwili au mitatu ijayo kwa sababu atakuwa mtu mzima ila kwa sasa anataka kufaidi pesa za Digital.

Picha ya Mzee Yussuf

Mzee Yussuf ameongeza kusema hata alivyoacha mziki hakuwa ame-miss kitu chochote na maisha yake yalikuwa yaleyale tu hakuwa na shida yoyote.

Interview nzima bonyeza hapa kutazama.