Picha kubwa ni gari ya msanii 20 Percent
Akifunguka kuhusu gari hilo kupitia kamera za EATV & EA Radio Digital, 20 Percent amesema kuwa
"Mimi natumia tu hilo gari sijui hata gharama zake, nipo nayo wiki ya pili sasa lakini siijui bei yake natembelea nayo kuna wengine wanazo kama 10 au 15 ndani kwao wanakupa tu utembelee nayo, mimi sio kiben-ten ni mchapakazi lakini natokea kwenye familia zenye uafadhali kuna wakati siimbi muziki lakini kwetu sikosi pesa ya mafuta"