Ijumaa , 30th Sep , 2022

Ni ujumbe wa Haji Manara baada ya kuoa mke wake wa tano Rushayna kwenye maisha yake ya ndoaa akieleza kwamba mwanaume ni ngumu kuwa na mke mmoja. 

Haji Manara akiwa na mke wake Rushayna

"Kwa sisi wapenzi wa Mtume kuwa na Mke Mmoja kama Mama Mzazi ni kitu kigumu mno, sisemi lakini ni naniliu flani hivi".

"Unajitia una mke mmoja huku una michepuko mitano au huna mke hata wa kulumagia kisha unalaumu wenye wake wengi wa halali, mtuache bhana tule raha" - Haji Manara