
Mchekeshaji Ebitoke
Akizungumza na eNewz ya East Africa TV inayoruka kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni, Ebitoke amesema
"U-Miss ulinishinda kwa sababu nilijiangalia kwenye kioo mara nyingi nikasema na ufupi huu nitaenda kuwa miss gani 'high hills' zenyewe kutembelea shida, kiukweli nina kasura fulani hivi ila umiss ulinishinda na sio fani yangu" amesema Ebitoke
Mengine zaidi aliyoyazungumza Ebitoke tazama hapa chini kwenye video.