Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nimemnunulia Wema kiwanja, ila tunapeana lawama

Ijumaa , 19th Jul , 2019

Mbunifu wa mavazi hapa nchini Tanzania Martin Kadinda, ameeleza mengi ikiwemo kumnunulia kiwanja staa na muigizaji Wema Sepetu, na kile kinachoendelea kwa sasa kati yake ana Wema pamoja na Petitman Wakuache.

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Martin Kadinda amefunguka hayo kupitia EATV & EA Radio Digital, baada ya kuulizwa kuhusu suala la ndoa na ujenzi kwa mtu wake wa karibu ambaye ni Wema Sepetu.

"Ni mtu wangu na ni familia yangu tumekaa kwa miaka 10, namshauri vitu vingi vingine anavifanya vingine anarudia, siwezi kumshauri aolewe yule ni mwanamke anatakiwa kufanya maamuzi mwenyewe, mimi nilimkabidhi Wema kiwanja kwenye sherehe ya kuzaliwa kwake mwaka 2015, kama amejenga au hajajenga hayo ni mambo yake binafsi".

Aidha mbunifu huyo wa mavazi amesema kwa sasa ukaribu wake na Wema Sepetu pamoja na  Petitman Wakuache, wameamua kuutoa kwenye vyombo vya habari kwa sababu mara nyingi wanabebeana lawama, anaweza akafanya jambo Wema akalaumiwa yeye, au akafanya Martin Kadinda akalaumiwa Wema.
 

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya